Hadi baba levo yuko hivi?
The father of AI amejiuzulu Google na kuonya kuwa tunacheza na moto hatari zaidi kuliko hata masilaha ya nyuklia. Hata Steven Hawking kabla hajafa alionya sana kuhusu suala hili kuwa ni mojawapo kati ya mengi yanayoweza kumwangamiza mwanadamu hapa duniani...
SIRI GOOGLE NA ChatGPT YATAJWA KUWA HATARI ZAIDI | AI NA ROBOTI ZALETA HOFU DUNIANI
[emoji116][emoji116]
Uzuri ni kwamba akili za watoto kwa kiasi kikubwa hutoka kwa mama kwa hivyo mapunyeto hayana athari zo zote katika hii ishu msiyasingizie...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
si hupendi mifupa??Nitafurahi sana asee si unajua sote tupo dsm. πππππ
Do the needful bro please