Ah ah ah hii ni kwel yaan, niliachwaga na bus kwenda shule zamani sana yaan nililiaaa ubungo pale na ka uniform kangu nilikuwa nawaza adhabu naifanyaje