Vituko mitandaoni. Tupia chako


Ukiandaa sherehe hakikisha umejipanga. Watu siku hizi hawana heshima hata kidogo.

Enzi zetu watu walikuwa na adabu kwenye sherehe anaenda ila anachukua tahadhari asije akapendeza kuzidi aliyeandaa sherehe na maharusi.

Siku hizi, we jidai mi ntavaa simpo tuu eehehehehee

Watu wanaagiza nguo online, fundi anasimamiwa shurti aonekane tofauti, ateke wapiga picha, mpaka perfumes watu wanazo spesho za mitoko, sasa wewe njoo na marashi yako ya karafuu....πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Usijesema sikuambjwa habari za mjini...

Watu wana namna nyingi ya kupunguza stress, kazi kwako unaweza andaa sherehe ukitegemea kifurahi ukajikuta umeudhika na ukaongeza stress.

Ama piano, piano 🎹 🎢🎢🎡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…