Na wewe boya unatoka huko ulikotoka unakurupuka na kumuoa. Zaidi ya nusu ya watu kwenye harusi yenu wanakuonea huruma na kukucheka! Mtaa mzima ukipita watu wanainamisha vichwa chini kwa aibu!
Nzi dume hupatwa na stress kama akikataliwa na jike kujamiiana. Utafiti unaonesha "huwa na kawaida ya kunywa pombe ili kuondoa stress baada ya kukataliwa.