Vituko mitandaoni. Tupia chako

This is not true. These are pennies of which there are 100 in a dollar (a quarter is 25 pennies). To get the right amount take the # of pennies then divide by 100 i.e. 9125 Γ· 100 = 91.25

Therefore; if you saved a quarter everyday for a year you will have $91.25

Thenki yu saa 😁😁😁
 
Even though it is painful, nowadays nobody cares braza! Your good heart, kujitoa kwa kidogo ulichonacho na kuwa tayari kusettle down na kuanzisha familia are useless kama huna pesa.

Especially for men. Tusisahau kutafuta pesa. Mapenzi ya sasa bila pesa hayawezekani. Utavumiliwa halafu mwishowe utachokwa na kuachwa tu. Mabinti wa sasa wako tayari wawe michepuko ya wanaume waliooa na familia zao ali mradi tu wawe wanapewa vihela vya hapa na pale, visafari safari visiwani huko na mbugani...wanatumika weee mpaka wanachakaa mwisho wa siku wanaamua kuwa singo maza basi mchezo kwisha.

Na jamaa wengi waliooa ni wajanja. Hawatoi hela za maana mf. mtaji maana wanajua kuwa the moment these ladies stand on their own economically basi wanaweza wakawapoteza.

Ukijifanya una mapenzi ya kweli siku hizi utakufa kwa presha. Siku hizi ni lazima uwe tayari kuwapisha wenye pesa zao...Learn to go with the flow - fiance wako kabisa anaweza akachukuliwa na lijamaa akapelekwa visiwani Seychelles au Zanzibar huko wewe ukaambiwa amekwenda Misungwi kwa bibi yake anaumwa!

...na wakati mwingine hata kama una pesa napo unaweza kuishia kutumika pia...so be careful too.

Nyakati za hatari sana hizi hasa kwa vijana wanaotafuta wenza wa kudumu.

Mungu na Awasaidie πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…