Amepandisha mno kodi. Na bado hela zinafujwa tu na wajanja. Kwenye safari tu za viongozi zimetumika sijui bilioni ngapi tangu aingie serikalini maana nimeona wanamlalamikia.
Ni kama sisi tu. Tozo na kodi kila kona ila zinaliwa na wachache. Hii ndiyo inaumiza na kukasirisha watu!
View attachment 2671148