Now you know why [emoji817][emoji818][emoji1544][emoji419][emoji375][emoji3]Unaingia katika maagano ya kuzimu...I heard you saying this...that whatever you do make sure that it does not involve blood. How come now blood is involved? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
What a view πππππNaona timu moja tayari ishafika uwanjani tayari kwa mpambano...Timu pinzani (isomeke mzabzab) bila shaka itawasili muda si mrefu ujao.
Nani ataibuka kidedea?
Tutawajuza baada ya dakika 90 za mpambano huu wa kukata na shoka πππππΏββοΈππΏββοΈ
View attachment 2667101
Aisee....wenye hela embu mleni linda kwanza ili ashike adabu
Huyo babe ni mwanafunzi? [emoji1787][emoji1787]
Hata kama siyo mwanafunzi mabaharia wengine wakisikia tu "bebi sizioni siku zangu" wanachojua ni kukimbilia Botswana tu tena ndani ndani huko πππHuyo babe ni mwanafunzi? [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata kama siyo mwanafunzi mabaharia wengine wakisikia tu "bebi sizioni siku zangu" wanachojua ni kukimbilia Botswana tu ndani ndani huko [emoji16][emoji16][emoji16]