Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mkinga njoo. Unayo tabia ya kufeli mitihani ya aina hii πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

 






Kazi iendelee...πŸ’ͺπŸ’ͺ

Nasubiria vituko vya wasukuma daraja likiisha...

Natabiri wako wasukuma wataotembea kwa miguu kwenye hilo daraja toka kingo moja hadi ya upande wa pili...πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Watu kuanzia mwaka 1935 mpaka leo wanatembea kutoka upande mmoja mpaka mwingine wa Golden Gate Bridge kule San Francisco sembuse Wasukuma?

Tuwacheeee! 😬😬😬😬😬

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…