Ile ni sawa na reactor ya kinu cha nyuklia mzee baba. Joto inabidi liwe katika viwango vinavyotakiwa vinginevyo utaharibu Uraniun iliyoko kwenye core rods hali ambayo inaweza kupelekea mtambo mzima usizalishe umeme.
Vuzi liko pale kuhakikisha kuwa joto liko optimal na kila kitu kiko sawa! πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ