Nimependekeza kwa TUME YA RAIS YA HAKI JINAI, kwamba utaratibu wa MTUHUMIWA kuandikwa MAELEZO YA ONYO (Caution Statement), UFUTWE. Hii ndiyo sababu kubwa ya watuhumiwa KUTESWA wawapo VITUO VYA POLISI. Maelezo ya mtuhumiwa YACHUKULIWE MAHAKAMANI.
Haya mambo yanafanyika kwenye nchi ambayo ni KISIWA CHA AMANI. Kwa kweli MFUMO WA HAKI JINAI unahitaji KUUNDWA UPYA.