Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Siyo sex doll.hizo ni propaganda tu elon musk hatengenezi sex dolls na mpaka atengenezwe sex doll wa kumzidi mwanamke ni miaka mingi mbele.....
Hategenezi Se.X dolls...hizo ni propaganda tu elon musk hatengenezi sex dolls na mpaka atengenezwe sex doll wa kumzidi mwanamke ni miaka mingi mbele.....
Lakini kweli mtu mkubwa mwenye heshima zake ajichafue jina kwa kuuza sex toys??😅 si atajiharibia sana??Siyo sex doll.
Ni Humanoid
Ongezea na AI yake
Na Neuralink
Po pote atakapoona kuna pesa ataelekea huko....
Ndugu yangu.Lakini kweli mtu mkubwa mwenye heshima zake ajichafue jina kwa kuuza sex toys??😅 si atajiharibia sana??
Haitokaa itokee watengeneze lidude la kumzidi mwanadamu.hizo ni propaganda tu elon musk hatengenezi sex dolls na mpaka atengenezwe sex doll wa kumzidi mwanamke ni miaka mingi mbele.....
ule ulaini na joto, na majimaji sijui watawezaje 😅Haitokaa itokee watengeneze lidude la kumzidi mwanadamu.
Hata kama wataweza lkn haiwezi kuwa sawa na binadamu. Og ni og tu wazungu wapuuzi sana sijui wamewaza niniule ulaini na joto, na majimaji sijui watawezaje [emoji28]
Mawazo ya hatari haya...Hata kama wataweza lkn haiwezi kuwa sawa na binadamu. Og ni og tu wazungu wapuuzi sana sijui wamewaza nini
Boya jasho linamtoka!
SawaMawazo ya hatari haya...
Mambo mengi unayotumia leo mwanzoni yalionekana ni upuuzi pia. Usiwa-underestimate hao jamaa wakiamua. Inaweza ikawachukua muda mchache tu kubadili concept nzima ya sex na wakaihamishia kwingine kabisa.
Neuralink kwa mfano ina potential ya kukuwezesha kujua mtu mwingine anawaza nini...na hatimaye kuweza ku-download hayo mawazo yake...na hii ndiyo njia mojawapo ya kuishi milele. Mtu unadowload mawazo na experiences zako zote tangu utoto zinatiwa kwenye roboti na maisha yanasonga.....
Haya siyo mambo ya kudharau!