Aseee ngoja nizisake ila duuuuh itabidi nihamie mambele sasa mkuuu 😁😁😁Hata kama utakuwepo itakuwa bado ni teknolojia ghali sana na ni matajiri wakubwa tu watakaoiweza. Pambana sana huo mwaka ukukute una at least $100+ millions. Hapo mtaenda sawa 😁
Mimi kama nitakuwepo nitakuwa na miaka 99 duh! 😳🙏🏿
Unajua kuwa hata sasa hivi ukiwa na angalau $28K unaweza kuhifadhi ubongo wako kusubiri hiyo teknolojia inayokuja? Sema tu kuna waiting list.Aseee ngoja nizisake ila duuuuh itabidi nihamie mambele sasa mkuuu 😁😁😁
Maana huku bongo tuko nyuma nyuma kwenye kila kitu
Duuh noma sana mi nataka niione tu asee ikiw practical ntafurahi sana,, the future is promising 😁😁😁Unajua kuwa hata sasa hivi ukiwa na angalau $28K unaweza kuhifadhi ubongo wako kusubiri hiyo teknolojia inayokuja? Sema tu kuna waiting list.
View attachment 2616673
Najiona kabisa sijui shida ni nn lkn 😅😁😁😁Hawali?
Kuna vimbaumbau vinafukia hatari. Na haviongezi hata kilo moja yaani. Labda calories huwa zinaishia kwenye gubu, makelele na roho mbaya 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
View attachment 2616695
Labda calories huwa zinaishia kwenye gubu, makelele na roho mbaya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hawali?
Kuna vimbaumbau vinafukia hatari. Na haviongezi hata kilo moja yaani. Labda calories huwa zinaishia kwenye gubu, makelele na roho mbaya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2616695
Mnajiona wajanja kulamba kila papa hapo sasa