Unajua kuwa huyo ni dada yangu?mwambie akimaliza aje kule selfika aniliwaze πtwende nae taratibu, au unasemaje.... persistence is keyπ
Unamkuwadia dadangu? π³π³π³
mambo madogo tu kaka tutayajadili usiwaze kabisa πUnajua kuwa huyo ni dada yangu?
Ng'ombe unao au unajishaua tu? π³
Bila ng'ombe 50+ wala usije hata kujitambulisha! π¬π¬π¬
Hapa ni mifupa mitupu sasa...Mshimo wake sasa maweee! ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Photoshop zinawabeba sana hawa kawaida sana huyu
Unaonekana una heshima...mambo madogo tu kaka tutayajadili usiwaze kabisa π
Mwambie akaoge alale kesho shuleπ
hadi farasi utapewa kama unataka πUnaonekana una heshima...
Go ahead lakini ng'ombe lazima!
Huyo bado denti bagheshiUnajua kuwa huyo ni dada yangu?
Ng'ombe unao au unajishaua tu? π³
Bila ng'ombe 50+ wala usije hata kujitambulisha! π¬π¬π¬
Dah kweli tumetoka mbali, ung'eng'e na sound zilikua zimelala kichwani, nimekula sana hela za watu wanaomba niwaandikie baruaEnzi zetu dah!
Kimbembe sasa iangukie kwa mwalimu mnoko dah!
Na ilikuwa inasomwa na bweni zima πππ
View attachment 2601266
hatimaeπMwambie akaoge alale kesho shuleπ
Hii ni kweli π―π π π
Duh...fata nyuki ule asali...
Vipi dogohatimaeπ
Demi nimeona tu nikutag rafiki yangu π