Kwanini ulikuwa unafanya huo mchezo sasa?
Mimi ningejua ningeuliza? Na wewe umejuaje kuwa hiyo ndio sababu iliyomfanya akafanya hayo? 🤒 🤒hujui kwanini kweli ?
upweke na kuangalia videos za mitandaoni ndio sababu alikua hivo
Sent from my iPhone using JamiiForums