Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Kwakweli aje aseme neno na yeye kaitoa wapi hIyo avatarnkakisali2 πππ ndugu emu njoo kidogo.
Na anaandika habari za R City. Nyieeee π€£π€£
Basi Beshtie. Alinambia kuna jambo analifatilia, akikamilisha atanambia. Nikambana aniambie, akanikazia hiyo Siku. Nikamuacha baada ya siku mbili nikamrudia, si ndo kuniambia na yeye mambo za hii ID πππ
Hao wamama waache umbeaπ
πππ kuna moja me mwenyewe natamani niipate, ila sijui naipatia wapi.Zamani nilikuwa na avatars zako zote. Sijui lile faili lilipotelea wapi. Ningekulazimisha uchague moja nzuri uachane na hii matipo π
Nikichimbua makabrasha yangu hilo faili naweza kulipata ila kwanza ukubali kuiondoa hii matipo ππππ kuna moja me mwenyewe natamani niipate, ila sijui naipatia wapi.
Zamanj Beberu Mwitu alikuwa ameitunza, na yeye sijui yuko wapi siku hizi
Tulieni emu, msitusumbue na sie π€£π€£Kwakweli aje aseme neno na yeye kaitoa wapi hIyo avatar
Halafu wadau tutapiga kura kama mmoja wenu abadili au ikishindikana basi wote muitoe mtafute avatar nyingine, msituchoshe sie π
Siee wazee wa 2min hii tutaendelea isikiaga tuu