Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mwamitandao maarufu nchini Kenya [emoji1139], Manzi Wa Kibera akiwa na mpenzi wake kikongwe wa miaka 66, kikongwe huyo amesema haoni shida kuwa kwenye mahusiano na mtoto mdogo kama huyo baada ya mke wake kufariki, anaamini amepata faraja na liwazo katika maisha yake yaliyobakia.
 
Ila nyie huyu dogo ananifurahisha nikimuangalia lzm nicheke[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ebu fikiria huo mtonge wa ubwabwa anaomlisha huyu mtoto wawatu[emoji1787][emoji1787]alafu cheki hilo pande la tikitiki[emoji525][emoji119]
kilichonivunja mbavu anavyomuangalia kwa huruma huyo mtoto akimalizia ubwabwa [emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

dogo unajua kwenda na beat[emoji119]

1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…