Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wajemeni! Sipati raha kabisa sio kwa web wala app, picha hazifunguki kabisa. Ndugu mshana aliniekekeza kimtafuta moderator lakini sijafua dafu, nime uninstall na kui rudisha pia hola! Sijajua ni mimi mwenyewe inanikuta hii kadhia au lah!
 
Tuko wengi, mi ht nimezoea tu maana tumeshalalamika sana ila bila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…