Vituko mitandaoni. Tupia chako

Watu ni wasumbufu jf
sina namna lkn View attachment 2579212



Bado mdogo. Ukikua kua huko kwenye 25 huko pengine utakuja kugundua kuwa haikuwa na ulazima wo wote wa kuporomosha matusi mazito namna hii hata kama unaamini hakuna akujuaye.

Hata mimi kuna siku ulishaniporomoshea matusi mazito tu bila sababu mpaka nikaja PM kukuomba ufute matusi yale Nikawa nasema huyu mjukuu wangu kabisa tena wa mwisho huko anapata wapi nguvu za kunitukana hivi tena bila sababu?

Mungu Azidi kukuimarisha kwa jinsi unavyoongeza miaka pia uongeze busara, uvumilivu, upendo na roho ya kusamehe. Maisha!
 
Asante babu ila watu wanakera sanasana huyu Chizi Maarifa acha tu mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…