Vituko mitandaoni. Tupia chako

Karibia wote hapa hamjazaliwa!
View attachment 2564551
Tutake radhi wengine!!

Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!

Hao jamaa walikuwa wanapenda sana kupiga Super Fanaka na Muleba bar ya Mabibo, Marijani yeye ilikuwa ni lazima kwa wiki mara moja apige Motomoto Bar alikoibiwa saa na Masudi mpaka akamtungia wimbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…