Hiyo ChatGPT unaipata wapi na inatumikaje? Nimeona vyuo vikuu vingi huko nje wanahaha kutafuta namna ya kuidhibiti maana hata wanafunzi vilaza wameanza kuandika paper zenye uchambuzi safi kabisa mpaka maprofesa wanashangaa...
Hapo hapo Google nao wana ya kwao na Elon Musk naye ana sijui kitu gani hatari zaidi. Dunia inakwenda kasi sana na kila mtu ana wasiwasi na hii AI. Kazi nyingi zinakwenda kupotea!