SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,278
- 3,565
Huyo binti yake hukuwala kimasihara kweliNgoja nikupe kisa cha kweli.
Mwaka 2010 nilibahatisha pisi kali hatari mitandaoni humu humu - picha kali hatari tena mno pisi inadai kuwa iko 27 yrs. Halafu tipwa tipwa imefungasha sijaona...kama nipendavyo!
Siku ya kuonana sasa. Kumbe ni mama mtu mzima sana 45yrs+ halafu kachoka choka hatari. Tulienda kwenye mkahawa mmoja tukala na kuongea vizuri namuuliza kulikoni mbona yanayopaswa kuwemo hayamo? Oooh zile picha nilikuwa natumia za binti yangu na blah blah kibao..mpaka tukaagana jioni nikampa na nauli ya kurudia huko Kibaha ndani ndani huko.
Ila tuliishia kuwa marafiki sana siyo na yeye tu bali hata mabinti zake wawili akiwemo yule mkali kabisa ambaye picha zake ndiyo nilikuwa natumiwa. Hata mama yao alipofariki nilikwenda kwenye msiba.
Mitandaoni humu unaweza kuwa catfished...na ni vyema kuwa mwangalifu. Tangu kisa kile kinitokee niko makini hatari!
RIP Mama Ashura [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Asa si katuma nauli yake jamani, angeila au?Na wewe kwanini ufunge safari ya kuzidi km 150 kumfata mtu usiyemjua?
🤣🤣🤣🤣🤣
Navyopenda ku upgrade umriiiiiiiiiNgoja nikupe kisa cha kweli.
Mwaka 2010 nilibahatisha pisi kali hatari mitandaoni humu humu - picha kali hatari tena mno pisi inadai kuwa iko 27 yrs. Halafu tipwa tipwa imefungasha sijaona...kama nipendavyo!
Siku ya kuonana sasa. Kumbe ni mama mtu mzima sana 45yrs+ halafu kachoka choka hatari. Tulienda kwenye mkahawa mmoja tukala na kuongea vizuri namuuliza kulikoni mbona yanayopaswa kuwemo hayamo? Oooh zile picha nilikuwa natumia za binti yangu na blah blah kibao..mpaka tukaagana jioni nikampa na nauli ya kurudia huko Kibaha ndani ndani huko.
Ila tuliishia kuwa marafiki sana siyo na yeye tu bali hata mabinti zake wawili akiwemo yule mkali kabisa ambaye picha zake ndiyo nilikuwa natumiwa. Hata mama yao alipofariki nilikwenda kwenye msiba.
Mitandaoni humu unaweza kuwa catfished...na ni vyema kuwa mwangalifu. Tangu kisa kile kinitokee niko makini hatari!
RIP Mama Ashura [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mi mwenyewe nina mfano hai wa ndugu yangu ana 31 ila ni mapenziless,sexless,childless mi namuonea huruma sana maana kaaa kaa yake ni tofauti na wanawake wa umri wake hii ni kweli ila 2030 ni karibu sana mkuu labda 2045Kwa kampeni hizi za ushoga na kukataa ndoa zilizopamba moto 2060 mbali sana. 2030 tu hapa kutakuwa na wimbi kubwa la mabinti above 35 wanaosaka waume kwa hali na mali.
AyiiiiAsa si katuma nauli yake jamani, angeila au?
🤣🤣🤣
Aah ngoja tu tutupie zetu zile [emoji23]Usifute bana.....
Unajua tena siasa na dini....
Zinafarakanisha....
Tumezoea kurelax na kucheka huku...
Haziepukiki...ila tuwe nazo makini tu...
View attachment 2504415
31 mbona bado mdada mbichi jamaniMi mwenyewe nina mfano hai wa ndugu yangu ana 31 ila ni mapenziless,sexless,childless mi namuonea huruma sana maana kaaa kaa yake ni tofauti na wanawake wa umri wake hii ni kweli ila 2030 ni karibu sana mkuu labda 2045
HahahaaAyiiii
Kula nauli sio dhambi hata
Angekula
Af amwambie hamna safari
[emoji39][emoji39][emoji39]dah halafu... Au basi acha tu nisiseme[emoji1787]SDY deile!
View attachment 2504416
Nataka zaidi ila nina pungufu [emoji23]Ina tiviii huko ndani? [emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2504417
Msalimie DemissLet this month move quickly[emoji24]
31 mdogo unachekesha we depal huyu hata dalili ya kuwa na me hamna alafu anavutaga bangi huyu na kukojolewa ovyo ovyo disco ila boyfriend wa kudumu hana kabisa na mawazo hayo hana mi nakwambia labda mpaka 40+ akili yake ikifunguka la sivyo sijui31 mbona bado mdada mbichi jamani
Me mwenyewe nna dada
Nahisi yuko above 35
She is happier
Ana mtoto mmoja
Au wanaliaga ndani kwa ndani?
I see me in the fyuchaaaa
Mh 31? Ana ukubwa gani?31 mdogo unachekesha we depal huyu hata dalili ya kuwa na me hamna alafu anavutaga bangi huyu na kukojolewa ovyo ovyo disco ila boyfriend wa kudumu hana kabisa na mawazo hayo hana mi nakwambia labda mpaka 40+ akili yake ikifunguka la sivyo sijui
Ndo mambo ya menopause yakiwa yanamnyemelea hapo 😒😹😹😹 and im sure inamuuma sana kwa ndani sema ndo hivyo huwezi jua
Single maza wengi ni 🤮🤮🤮🤮🤮
Dunia na maajabu yakeKwanini amcharaze mwenzake lakini 🤣🤣🤣🤣
Yangu macho si tupo 2033 si mbali sanaMh 31? Ana ukubwa gani?
Labda angekuwa 41
Huyo anavuta bangi ni anaza case 🙄
Taja luti zako za kwenye daladala kutukane[emoji6]
Binti yake mpaka leo tumekuwa kama ndugu. Hata kwetu Misungwi alishafika....Navyopenda ku upgrade umriiiiiiiii
Ila ni mwili unanikataa
Me ukiulizq ni lazima nikuongezee miwili au mi3.
Ila kupunguzaa? Nehii
Back tu shangazi Ashura, huo ni utapeli [emoji1787]
Btw angekupa binti ake
Na apumzike kwa Amani