Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,404
Niko mjanja hatari...utakutana na mjuba
Huo ni utapeli sijui uswahiliNiko mjanja hatari...
Huwa nawahi stendi/uwanjani...
Na kuusoma mchezo kwa mbali.....
Nikiona yanayopaswa kuwemo hayamo...au yaliyomo siwezi kuyamudu....huyoo nasepa kiulaini nazima na simu kabisa.....
Silver Palm alikuja mtu nikaona kabisa hapa nitachemsha...nikiwa kule kwenye geti la ile hospitali ya Lutheran....
Akachoka kusubiri reception nikamwona anasepa zake....
Akili mtu wangu...
Akiliiii!
Hizo ni mbinu zakimedaniNiko mjanja hatari...
Huwa nawahi stendi/uwanjani...
Na kuusoma mchezo kwa mbali.....
Nikiona yanayopaswa kuwemo hayamo...au yaliyomo siwezi kuyamudu....huyoo nasepa kiulaini nazima na simu kabisa.....
Silver Palm alikuja mtu nikaona kabisa hapa nitachemsha...nikiwa kule kwenye geti la ile hospitali ya Lutheran....
Akachoka kusubiri reception nikamwona anasepa zake....
Akili mtu wangu...
Akiliiii!
Mtu akiwa tapeli na wewe wahi umtapeli...kwa nini akuzuzue na filter za snapchat na mtako wa bandia kumbe wala siye mubashara ni mtu mwingine kabisa wala hafananii?Huo ni utapeli sijui uswahili
Mpaka mnawasiliana mnaenda kuonana ina maana hamkuanza kujuana?
Ina maana we ulionaje onaje? Na usijue ni chenyewe ama sio chenyeweMtu akiwa tapeli na wewe wahi umtapeli...kwa nini akuzuzue na filter za snapchat na mtako wa bandia kumbe wala siye mubashara ni mtu mwingine kabisa wala hafananii?
(By the way ni utani tu...)
Tunachangamsha genge tu Mzalendo....mtu mpaka akafunge safari si mtakuwa mmeshaelewana? Japo pia siyo vibaya kuwa mwangalifu maana unaweza kuwa umezoeshwa picha za filters lakini laivu unakuta mtu ni tofauti kabisa - kwa umbo na hata umri.Hizo ni mbinu zakimedani
Ndo nn hichi sasa 😑😠🤮🤮 💩Relax Pastor P. Wengine mitandaoni humu ni sehemu ya kutolea stress tu. Nothing serious maana hatujuani. Na katika uzi huu tunacheka tu na kusepa basi...
View attachment 2504479
Kuna wanaume watabisha manina zao
Kwanini amcharaze mwenzake lakini 🤣🤣🤣🤣Nimechekaaaaaaa Lenie View attachment 2504548
Kwani uongoAmetoka kwenye Forex mpaka kwenye sperm retention
Na wewe kwanini ufunge safari ya kuzidi km 150 kumfata mtu usiyemjua?Kwanini amcharaze mwenzake lakini 🤣🤣🤣🤣
Ashaliwa kimasihara
2060 hiyo labda sio leo wala kesho mpaka vidume tupungue wote
Ngoja nikupe kisa cha kweli.Ina maana we ulionaje onaje? Na usijue ni chenyewe ama sio chenyewe
Utajua unajua siku na wakati ukiwadia168,000 kawapataje? Angesema 144,000 kama wanavyoamini Jehovah's Witness angalau ningemwelewa maana hiyo namba imo kwenye Biblia
View attachment 2504605
Kwa kampeni hizi za ushoga na kukataa ndoa zilizopamba moto 2060 mbali sana. 2030 tu hapa kutakuwa na wimbi kubwa la mabinti above 35 wanaosaka waume kwa hali na mali.2060 hiyo labda sio leo wala kesho mpaka vidume tupungue wote