Begi langu la shule hili wallah, huwezi amini! Nilikua napenda ana la blue au nyeusi[emoji848][emoji22][emoji22][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] memoriesKila zama na zama zake, Hii ilitamba sana enzi zakeView attachment 2490916
Siyo rahisi kama inavyofikirika...Kwa nini tusigeukie jembe, watu milioni mia mbili wakiamua kulima njaa haitasikika tena duniani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kib Denis akicheza hapo mipira yote chini