Vituko mitandaoni. Tupia chako

Shimba ya Buyenze πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa utajuaje ndio coffee date? Ama depends na mtapoenda?
View attachment 2483734
Si mnaambiana bwana. Kuwa this is just a coffee date. Light convo. Just to get to know you a lil bit more...usually ni coffee na light snacks ila mwanaume unaweza kujiongeza ukam-surprise na kakitu kengine akapendako...Nice flowers, expensive chocolates...au hata drink nyingine aipendayo..

Sasa coffee date mtu anaparamia likuku lizima dah! Kama ni mimi hutanisikia tena wallahi! 😁
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuku mzima kama mnakula wote ni sawa.


Sasa si tungeenda tu evening walk tu kama hamna hela, ndio tutembee huku tukila mahindi
Wajua hata binti akiwa na hela anaweza lipia tu hilo likuku lizima aliloagiza na malalamiko yakaisha. Simple sana haya mambo 😁😁
 
Ndiyo unaagiza kuku?

Tena mzima?

Ili ubakishe uombe ufungiwe to go.

Wakati mwenzio bajeti ya coffee.

Siyo poa!
Kuna mtu alinitoa dinner
Nikajishaua ule uzungu wa β€˜order chochote nakula kasoro sumu.

Mtu akaniuliza ushawahi enda eneo flan? Nikamwambia hapana. Akasema basi twende pale, wana vyakula vya kimataifa.

Tumefika
Nikaagiza glass ya white wine- nilichofaidi πŸ˜‚
Chakula si ndo yeye sasa, basi akaagiza kitu kinaitwa INJERA, ni Ethiopian food.
Aliisifiaa, nikadhani itakuwa poa.
Mhh ngoma ilikuwa mbaya jamani πŸ™ˆ najikaza ila wapi,, ye anafakamia tu.

Nimekoma huo uzungu
Agiza- ni mwendo wa makange nusu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…