Kama kile chuo kilichompa King Msukus. Ni dola elfu 5 tu tunaanza kukuita Dr. Mshana. Walitaka pia kumpiga Bagonza akawatolea nje akawaambia kwamba yeye ana vyuo zaidi ya 10 vinavyotaka kumpa na vingine tuzo hiyo inakuja na bakshishi ya mpaka 20K....