Vituko mitandaoni. Tupia chako

Bora udondoshe njiani. Watu mnaishi pamoja, mnacheka mnapiga stori halafu haohao wanakuzunguka wanakuibia inakera sana
Kama kuna tineja mtukutu au mtu mwenye uraibu wa unga au pombe inaeleweka. Lakini kama ni familia wote mko wazima hakuna mwenye changamoto ya aina yo yote halafu mnaibiana siyo dalili nzuri kwa hiyo familia. Pole!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…