Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hakika brother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
One day nitahakikisha napata hii kitu , maadamu uzima uwepo, umaskini mbaya sana ngoja nipambane nao kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyuma ya pazia hawa wanaoitwa madikteta ni watu wazuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mtu ambaye ni mbaya au mzuri kwa asilimia 100% Akina Hitler, Stalin na miamba mingine ya kihistoria bila shaka pia walikuwa na mazuri yao kwa watu wao wa karibu na waliowafahamu vyema mbali na tunachoambiwa na vyombo vya habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…