TUZO YA KIONGOZI MUONGO TANZANIA 2022
Haya tuwapatie tuzo viongozi 10 bora waliofanikiwa kutudanganya kwa mwaka huu.
Kauli mbiu, kusema UONGO ni chachu ya maendeleo.
Wape washindi wako wa uongo nafasi kati ya 1 hadi 10 ambapo namba 1 ni kinara wako
1. Waziri Mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
2. Waziri wa Fedha
3. Mseamji wa serikali
4. Waziri wa Nishati na umeme
5. Wafafanuzi wa mabehewa [emoji23]
6. ....
7.....