Wasiokunywa ni wale wanamasalia ambao hawasuki hata nywele wala kuvaa aina yo yote ya urembo. Hawa ndo walitinga airport bila passport wala nauli....
Mimi ni Msabato lakini soda nazitandika na kile kinywaji kilichotengenezwa pale Kana ya Galilaya huwa nakipiga mara moja moja