Beyonce aliwahi kualikwa kwenda kutumbuiza kwenye birthday ya bilionea mmoja wa Saudia akalipwa $142 million na hafla ilihudhuriwa na watu 32 tu. Hivyo haishangazi.
Afghanistan kwa wababe. Ni taifa pekee ambalo limeshawahi kuingia vitani na super powers wote (US na Urusi) na kuibuka kidedea. Lete masilaha yako hatari sijui smart bombs, laser guided missiles na utopolo mwingine wao utawakuta tu wapo kwenye ngamia wanatafuna hashish yao bila wasiwasi ila cha moto utakiona tu.....na kufa kwao ni kawaida.
Funzo: Hakuna silaha ambayo inaweza kuushinda utashi wa binadamu ambaye haogopi kifo!