Hivi wanaume tunataka nini hasa? Anayemiliki hii pisi kashikwa ana-cheat tena na kibinti cha kawaida tu. Halafu pisi ina mimba imenona hatari. Tatizo hasa ni nini?