Vituko mitandaoni. Tupia chako

Binafsi hata nikikutana na mtu barabaran ananiomba hela, ni heri nikamnunulie juice take-away au niende nae mpaka mgahawani nimnunulie chakula cha 2000 kuliko kumpa hiyo coin. Maana nilikuja kushtukia wengi matapeli tu.
Tanzania sio ya kuipa pesa tena, bora watupe wataalamu wao, vifaa na teknolojia zao hata kama ni za miaka ya 90 etc vije/waje kutusaidia huku.
 
Hasa g,mboto unakutana na mtu anakuomba kaishiwa nauli na katokea tegeta na mwenyeji wake hapatikani kwenye simu


Kariakoo gerezani matapeli kama wote,
 
Hasa g,mboto unakutana na mtu anakuomba kaishiwa nauli na katokea tegeta na mwenyeji wake hapatikani kwenye simu


Kariakoo gerezani matapeli kama wote,
Hizo tricky tushaishtukia, na kuna wale wadada wanakuwa na mtoto wanajifanya wamepoteza nauli au mtoto anaumwa.. kuna wadada nilikutana nao pale maeneo ya victoria halafu siku chache baadae nikakutana nao tena, walivyoniona hata hawakunisemesha wakakaza mwendo
 
Hao huwa siwapi hata 50, ni matapeli. Kuna baba hivi mara kibao nakutana nae anaomba nauli hadi anasahau watu anakuomba kwa mara ya pili, ya tatu na sababu ni zile zile hadi tushamkariri. Siku hizi nikimuona namtoa baru.
 
Wahuni tu,nilisha sema sitoi
,

Mmoja ilikuwa kino studio akasema hana nauli na mwenyeji hapatikani na dar ni mgeni inabidi aende mbagara
. Huwa nawaambia mie mwenyewe ni mgeni pia


Nilimpaga pesa kiwete pale posta,kugeuka tu limtu likaenda kuichukua hile hela
. Nikajisemea dar kila kitu ni utapeli tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…