Vituko mitandaoni. Tupia chako

Tena!

Tumemaliza majadiliano na Ujerumani, wameipatia Tanzania Msaada wa TZS 209,746,204,779.00 kwa ajili ya kusaidia masuala ya sekta ya Afya, Maji, Uwezeshaji wa wanawake,Ulinzi wa bioanuwai,kuzuia rushwa, mfumo wa Kidijitali,kuunganisha kaya na maji ya kunywa na usafi wa Mazingira.
 
Kama taifa tushindwe tu kutajirika aisee


Si angalau wazifanyie mambo ya maana basi yenye tija kwa wote na yanayokuza uchumi? Wanazifanyia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…