Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,781 Reaction score 830,928 Nov 21, 2022 Thread starter #131,941
TimeOut JF-Expert Member Joined Sep 20, 2022 Posts 3,893 Reaction score 8,484 Nov 21, 2022 #131,942 Mshana Jr said: View attachment 2422737 Click to expand... Aliekuambia mil3 haijengi na ikamaliza nyumba nani
Mshana Jr said: View attachment 2422737 Click to expand... Aliekuambia mil3 haijengi na ikamaliza nyumba nani
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,170 Nov 21, 2022 #131,943 Smart911 said: Cc: Lenie Click to expand... Thank you jirani Hizi kazi tusipokua makini zitatuzeesha kabla ya muda
Smart911 said: Cc: Lenie Click to expand... Thank you jirani Hizi kazi tusipokua makini zitatuzeesha kabla ya muda
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,138 Nov 21, 2022 #131,944 Mshana Jr said: View attachment 2422737 Click to expand... Hamna kitu ninacho kuogopa kama chwa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,059 Reaction score 185,359 Nov 21, 2022 #131,945 Lenie said: Thank you jirani Hizi kazi tusipokua makini zitatuzeesha kabla ya muda Click to expand... We acha tu Jirani...
Lenie said: Thank you jirani Hizi kazi tusipokua makini zitatuzeesha kabla ya muda Click to expand... We acha tu Jirani...
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,170 Nov 21, 2022 #131,946 Smart911 said: We acha tu Jirani... Click to expand... Tupambane hamna namna
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,781 Reaction score 830,928 Nov 21, 2022 Thread starter #131,947 Your browser is not able to display this video.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,059 Reaction score 185,359 Nov 21, 2022 #131,948 Lenie said: Tupambane hamna namna Click to expand... Jirani unanikosea sana Kwa kupotea namna hii...
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,170 Nov 21, 2022 #131,949 Smart911 said: Jirani unanikosea sana Kwa kupotea namna hii... Click to expand... Nilikufungulia pm haukuja, hadi nikaamua kuifunga. Uje mtaani kwetu leo jirani utaniona
Smart911 said: Jirani unanikosea sana Kwa kupotea namna hii... Click to expand... Nilikufungulia pm haukuja, hadi nikaamua kuifunga. Uje mtaani kwetu leo jirani utaniona
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,059 Reaction score 185,359 Nov 21, 2022 #131,950 Lenie said: Nilikufungulia pm haukuja, hadi nikaamua kuifunga. Uje mtaani kwetu leo jirani utaniona Click to expand... Jirani pm unanifungulia sekunde alafu unapotea... Unanidolisha Jirani... sawa Jirani nitapita mitaa hiyo, ole wako uishie kunichungulia gorofani...
Lenie said: Nilikufungulia pm haukuja, hadi nikaamua kuifunga. Uje mtaani kwetu leo jirani utaniona Click to expand... Jirani pm unanifungulia sekunde alafu unapotea... Unanidolisha Jirani... sawa Jirani nitapita mitaa hiyo, ole wako uishie kunichungulia gorofani...
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,170 Nov 21, 2022 #131,951 Smart911 said: Jirani pm unanifungulia sekunde alafu unapotea... Unanidolisha Jirani... sawa Jirani nitapita mitaa hiyo, ole wako uishie kunichungulia gorofani... Click to expand... Sasa si lazima niweke mapozi jirani, yaani lazima nikusumbue sumbue. Kama saivi kufungua pm ni hadi mwisho wa mwezi ujao so kuwa mpole. Hahahaa na usipokua makini takumwagia maji toka gorofani af nakwambia sorry bahati mbaya jirani.
Smart911 said: Jirani pm unanifungulia sekunde alafu unapotea... Unanidolisha Jirani... sawa Jirani nitapita mitaa hiyo, ole wako uishie kunichungulia gorofani... Click to expand... Sasa si lazima niweke mapozi jirani, yaani lazima nikusumbue sumbue. Kama saivi kufungua pm ni hadi mwisho wa mwezi ujao so kuwa mpole. Hahahaa na usipokua makini takumwagia maji toka gorofani af nakwambia sorry bahati mbaya jirani.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,059 Reaction score 185,359 Nov 21, 2022 #131,952 Lenie said: Sasa si lazima niweke mapozi jirani, yaani lazima nikusumbue sumbue. Kama saivi kufungua pm ni hadi mwisho wa mwezi ujao so kuwa mpole. Hahahaa na usipokua makini takumwagia maji toka gorofani af nakwambia sorry bahati mbaya jirani. Click to expand... Hata kama wanaume tumeumbiwa mateso siyo namna hii Jirani... Fungua pm Kwa nusu saa tu, nitakua nishamaliza... Ukinimwagia maji ndiyo nitapata sababu ya kuja unikaushie nguo zangu...
Lenie said: Sasa si lazima niweke mapozi jirani, yaani lazima nikusumbue sumbue. Kama saivi kufungua pm ni hadi mwisho wa mwezi ujao so kuwa mpole. Hahahaa na usipokua makini takumwagia maji toka gorofani af nakwambia sorry bahati mbaya jirani. Click to expand... Hata kama wanaume tumeumbiwa mateso siyo namna hii Jirani... Fungua pm Kwa nusu saa tu, nitakua nishamaliza... Ukinimwagia maji ndiyo nitapata sababu ya kuja unikaushie nguo zangu...
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,170 Nov 21, 2022 #131,953 Smart911 said: Hata kama wanaume tumeumbiwa mateso siyo namna hii Jirani... Fungua pm Kwa nusu saa tu, nitakua nishamaliza... Ukinimwagia maji ndiyo nitapata sababu ya kuja unikaushie nguo zangu... Click to expand... Jirani unaonekana huna uvumilivu, unanipa mashaka. Pm sifungui kwakweli, kwanza funguo sijui ilipo. Hamna pasi hapa, utakaukia juani jirani
Smart911 said: Hata kama wanaume tumeumbiwa mateso siyo namna hii Jirani... Fungua pm Kwa nusu saa tu, nitakua nishamaliza... Ukinimwagia maji ndiyo nitapata sababu ya kuja unikaushie nguo zangu... Click to expand... Jirani unaonekana huna uvumilivu, unanipa mashaka. Pm sifungui kwakweli, kwanza funguo sijui ilipo. Hamna pasi hapa, utakaukia juani jirani
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Nov 21, 2022 #131,955 Mbwa kala mbwa🤣🤣
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,406 Nov 21, 2022 #131,956
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,406 Nov 21, 2022 #131,957 Qatar mambo ni moto!
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,406 Nov 21, 2022 #131,958
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,406 Nov 21, 2022 #131,959
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,406 Nov 21, 2022 #131,960