Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mwenge wa uhuru ukimaliza kukagua miradi mbalimbali Mkoa wa Katavi, leo umebaini dosari katika jengo la wagonjwa mahutututi (ICU) hospitali ya wilaya ya Tanganyika ambapo moja ya chumba kimebainika kufungwa taa za mwanga kama wa disko (dicso light).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…