Tofauti ya mwanamke wa Kizaramo, Kitanga, Kihaya, na wa Kichaga..
Mwanamke wakizaramo: Unampa hela ana nunua dela anaenda ana msutia jirani, analivaa dela bila nguo ya ndani mbele yako, unazidiwa anakupa kitu fresh unatoka unatabasamu.
Mwanamke wa kitanga:
Unampa hela anapika vitu mtaa mzima unasikia harufu ya chakula, chenji inayo baki ananunua kinga ukirudi unakula afu unakula..
Mwanamke wa kihaya:
Unampa hela, ukirudi unakuta majirani wote wanataarifa kuwa wewe uliacha hela, anakupkia vitu vzuri, usiku anakuhudumia... ukimsifia anakuhudumia tena hata mara sita kwa usiku mmoja... wee mle, sifa tu..
Mwanamke wa kichaga:
Unampa hela, anaenda ananunua dagaa anapika na michuzi mingi mpaka dagaa wanafufuka unakula kwa shida, dagaa wanakula utumbo wako unazimia...
Madaktari wanajitahidi wanakutibu unafufuka. Ukiwa hujapata akili vizuri anakuletea bili ya umeme, anakukumbusha deni la kwa Massawe, anakukumbusha kodi ya nyumba.. unashikwa na presha unaaga mazima🙄