Vituko mitandaoni. Tupia chako

Niko sahihi....

Uko sahihi....

Tunaongea katika mawanda tofauti tu.....

Mwanamke ni kiumbe wa hisia ndiyo. This is a scientific fact; na mpaka akalalwe huko nje (kama siyo kahaba) mara nyingi anakuwa na hisia na msela. Na ukitombewa mkeo huna chako hata kama bado anajifanya kukuheshimu lakini deep down atakuwa anakudharau sana; na atakuwa na wewe tu kwa sababu zinginezo labda watoto na ishu zingine za kijamii na kimaisha. Na huu utopolo upo tu huku kwetu. Kwa wenzetu huko wanakojua nini maana ya kuwa couple mara nyingi matokeo ya kucheat ni divorce tu hakuna cha msalie mtume...

Mimi uki-cheat jitahidi sana nisijue. Nikijua tu ni divorce moja kwa moja hata kama tuna watoto mia!
 
Hilo lipo kwa pande zote, hata mwanaume akimcheat mkewe anamdharau, ndio maana wengine wanatelekeza hadi familia wanazamia mchepukoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…