Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kati kati ya misitu ya Congo kuna uwanja mkubwa sana wa ndege,na uwanja huo kila uchao unapokea ndege za kutoka bara la Uropa huku zikiwa zimesheheni siraha za kila aina huku zikiondoa na vito vingi sana vya thamani.
N:B Siku tukiamka mambo haya yataisha kwa uwezo Mungu
 
*Habari zenu wababa , mkumbuke taarifa za watoto anaepaswa kuzitoa ni mama watoto...
usianze kudakia oooh huyu mwanangu wa pili sijui wa tatu, wanne, pls kaa kwa kutulia mbali kabisa wakati mkeo anatoa taarifa za wanae kwa karani wa sensa...
sawa wazee ?
 
saw ndy maana mimi staki kuhesabiwa labda nipewe hela😎😎
 
Kuna movie inaitwa "Sara's note book' inaonyesha yote ayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…