Vituko mitandaoni. Tupia chako

🙄😳🤔
 

Mlinzi​

High school Flashback!!

Watchman : Amkeni muende morning preps.
Allan : Mimi ni mgonjwa.
Watchman : Unaumwa na nini hiyo?
Allan : Binomial Nomenclature..
Watchman : Eeh, lala tu kijana. Hiyo kitu ni
hatari sanaaa. Imeuwa mno watu South Africa huko😊
 

Mwizi​

Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwangu akaanza kutafuta kitu kila kona ikabid na mie niamke.
Mimi: unatafuta nini?!!
Mwizi: hela
ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae maana hata hela ya bando jana sikua nayo.. alichoka zaid nilipomuuliza: una uhakika ulitunza hela humu?! Sipendagi ujinga na kitu hela mie😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…