Mzee hii ni Pure mathematics S.Chand nimepiga Sana Ila nikakutana nayo kwenye Physics tena hiyo formula kwenye electromagnetism oyaa Physics ni kisanga.
Kuna muda huwa nikilala naota Niko Advance na matokeo nimepata zero hasa physics Niko na F,Ile one nilipata kwa miujiza🤣🤣🤣