Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kama ulikua hujui kuwa duniani kuna KABILA ambalo ASALI huita jina linalofanana na SEHEMU ZA SIRI wacha nikufahamishe:-


Kabila hilo lipo barani Afrika tena Afrika Mashariki,

Kabila hilo lipo Afrika Mashariki tena nchini Tanzania,
Kabila hilo ASALI inajulikana kwa jina la WUCHI
,
Ndio, sijakosea inaitwa WUCHI na rudia inaitwa WUCHI
,
Kabila hilo sio lengine ni kabila la WAGOGO,
Kabila la WAGOGO ASALI inaitwa WUCHI ndio WUCHI
,
Sio UCHI ni WUCHI maana yake ndio hiyo ASALI
,

ASALI kigogo ni WUCHI na WUCHI ni ASALI
,


Kwahiyo Huyo dada hapo chini anakula WUCHI nadhani umenielewa
,
Kama unadhani nasema uongo muulize mgogo hapo,
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…