Dahh...
Jean-Claude Van Damme.
Huyu mjuba ndio alinifanya ujanani mwangu niwe napiga tizi la kufa mtu ili niwe na bodi kama lake.
Naukubaliana nawe,muda umekwenda kasi sana
Mkuu kigari tudogo kuliko bajaj?! Labda viko special ku move mtu ndani ya compounds kubwa za mahoteli na majumba makubwa ila wabishi ndio wanakuja navyo mpaka main roads