Hilo swimming lilikuwa na lita 5000 kabla hawajaja hao waswazi. Walipoondoka lilikuwa na lita 9000[emoji1]Rais wa Srilanka ana swimming pool nzuri. Hivi na sisi pale Magogoni/Chamwino tuna swimming pool?
View attachment 2286205
Walitembea naye[emoji25]Dunia ya wababe hii!
View attachment 2286209
Msema kweli ni.......
Ukimpa binti wa Kinyaki parachichi kama hili aisee utakachopewa hutakaa ukisahau [emoji16][emoji16]
Ameshavuka 30?
Wema ana miaka mingapi?Maskini... Hatimaye yamekuwa bado Wema. Tumuombee pia
Hawa wajuba kwa jinsi walivyo hata kukatiamo gogo hawaoni shida hawa! [emoji16][emoji16][emoji16]Hilo swimming lilikuwa na lita 5000 kabla hawajaja hao waswazi. Walipoondoka lilikuwa na lita 9000[emoji1]