Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hii Jamhuri kwa vituko yaani. Haiwezi kufanya hata jambo moja kizalendo. Sasa SGR mtumba tena dah! Mtu hapo keshavuta chake katajirika basi. Shit hole country [emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2260500
Kaka ndio maana nasema tupo m.kunduni mwa dunia sema wee unatumia lugha ya malkia tuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kaka ndio maana nasema tupo m.kunduni mwa dunia sema wee unatumia lugha ya malkia tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inasikitisha sana ndugu yangu...

Ni afadhali tu tule mbususu ili kupunguza machungu aisee.

Na wanaofanya hivi wapo na wanajulikana lakini hawafanywi cho chote!

We are indeed shithole countries [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…