Shimba natambua ninachopost ujue kaka.. Kuna vituko vya kutengeneza na kuna vituko genuine..! Na kuna vituko vya kutafakarisha na kujifunza Mimi huwa napenda kupost vyote
Mfano no 1
Hivi kuvaa hivi sio kituko kweli? Sasa hapa shida iko kwenye mwonekano,hivyo badala ya kuona kivazi baadhi yetu tunaangalia mwonekano na kuhamisha mawazo kwingine..
Zamani ili uone kalio ilikupasa kubinua chupi, lakini siku hizi ili uone chupi inabidi kupachua kalio. Vice versa
View attachment 2254835