Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Kusafisha banda?Inabidi ujue kwanza hao kuku nk wa wakwe au wa huyo mtu wako[emoji23]
Usije ukapewa kazi ya kusafisha banda la kuku kijana.
Kila mtu abaki na yake.Kwa hiyo sasa ni ruksa kukulana bila kuoana
Sawa dogo.Kusafisha banda?
Kama kuku ni wa mama mkwe nasafisha bila wasiwasi....na zaidi!
Heshimu wakubwa zako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Sawa dogo.
Mie ni bibi nkna 60yrs hapaHeshimu wakubwa zako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2254088
Utazeeka tu.Mie ni bibi nkna 60yrs hapa
Sasa wewe ndo kwanza unawaza kwenda kula vikuku vya ukweni[emoji23]
Kope za bandia. Labda gundi imemwingia machoni!Nyie huyu mdada wa kipindi cha dadaz anashida gani na haya macho yake[emoji23]
Maana anavyoyafinyafinya[emoji16]View attachment 2254109
Ooooooh sawa babu[emoji23][emoji2440][emoji2440]Utazeeka tu.
Utakwenda wapi?
Mungu Akulinde uufikie uzee maana kuzeeka ni baraka na hakuna guarantee...
Nakuombea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2254104
Duh!!!πππ
View attachment 2253909