Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wa humu tunajikondesha tu. si unaona mavishundu hayaendani na miili yetu[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaache hako kakurugenzi kangu kapendwa karembo. Katashangaa siku hiyo kutukuta tumekaa high table pamoja na wanafamilia. Ndo katajua kuwa kuongea sana siyo kujua kila kitu.

Kamanda P ni mtu wangu wa karibu sana na hataniangusha....
Haka kenyewe hakawezi kutunyima mwaliko. Kamanda ndiyo kabisa; atstupa na nafasi ya kutoa ushauri nasaha[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AMEN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mkurugenzi anapita ujumbe wangu kama hauoni vile[emoji51]


Malengo gani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mimi ya kwangu ni kutafuta kazi[emoji16]
Ya kamanda ni kujiunga praise and worship team kama mimi.
Nilikuwa busy na Baba Mwakasege

Malengo ya kamanda nayajua. Amen imekuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…