Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mi nilishapeleka kesi mapema na alishatoa hukumu. You are guilty! Na hukumu huwa haitenguliwi. Utajisumbua tu kwenda kunishtakia. She is on my side! [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Yupo neutral huyo 🤣
Mara mia hata ungenisemea Kwa kamanda angekuwa upande wako.

Halafu kwani kuna adhabu ingine zaidi ya hii ya kununiwa?😃
 
Yupo neutral huyo [emoji1787]
Mara mia hata ungenisemea Kwa kamanda angekuwa upande wako.

Halafu kwani kuna adhabu ingine zaidi ya hii ya kununiwa?[emoji2]
Umenuniwa na nani?

Hayuko neutral yule. Yuko upande wangu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123]

Kamanda ni mtu mmoja namheshimu sana. Huko nitakuwa napeleka kesi kubwa kubwa tu...au nikipambana na wewe halafu ukanishinda na najua kuwa nina haki. Nitakuwa nakonyorosha mwenyewe tu kwanza...

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Hakika nawaombea mfikie malengo yenu matakatifu. Huku nje huku hali wala si shwari msifikiri mchezo. Mungu na Akawasaidie [emoji1545][emoji1545]
 
Kuna mkurugenzi anapita ujumbe wangu kama hauoni vile😬


Malengo gani?🤣🤣🤣🤣🤣🤣mimi ya kwangu ni kutafuta kazi😁
Ya kamanda ni kujiunga praise and worship team kama mimi.
 
Kuna mkurugenzi anapita ujumbe wangu kama hauoni vile[emoji51]


Malengo gani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mimi ya kwangu ni kutafuta kazi[emoji16]
Ya kamanda ni kujiunga praise and worship team kama mimi.
Unataka nikuitie?

Kuna kitu umemkorofisha kwani? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…