Vituko mitandaoni. Tupia chako

Looh! Mmehamia huku tena, n vle haiishi lakn sjawah ipend kwa kweli.
ingawa ipo huko tuu hakuna aionaye lkn me inaninyima raha
Michirizi ya utamu hiyo iache wala isikunyime raha. Labda kama unadeti na vivulana hivi ambavyo havielewi cho chote kuhusu mwili wa mwanamke...na kwa nini anaitwa mwanamke!
 
looh! Skuwahi kulijua hilo.
Ndo umelijua sasa.

Kama zipo nyingi sana mpaka unaonekana kama pundamilia unaweza kutumia mafuta ya mnyonyo (castor oil) ili kuzififisha kiaina. Vinginevyo ziache tu na zitafifia zenyewe.....na kwa nadhani wanaume wengi wanazipenda kwa sababu ndiyo hasa mwili wa mwanamke unapaswa uwe hivyo hasa mapajani huku na kwenye msambwanda. Kuna raha yake yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…