Vituko mitandaoni. Tupia chako

So tell us...inakuwaje nyie wanawake smart mnapenda sana playboys...alafu mnakuja kisettle na nerds kama sie

Yaani mnatulisha makombo ya playboys kweli
ilitokea tu hakuna mtu anapenda kuumizwa. Kudhibiti hisia ni ngumu mno rafiki, unampenda mtu unaona kabisa hapa nazingua lakini umo tu. Inataka sana nguvu kujitoa huko
 
ilitokea tu hakuna mtu anapenda kuumizwa. Kudhibiti hisia ni ngumu mno rafiki, unampenda mtu unaona kabisa hapa nazingua lakini umo tu. Inataka sana nguvu kujitoa huko
Pole sana ...sasa inakuwaje ukanasa tena kwa playboy? Au maneno yao matamu sana mpaka mnashindwa kabisa kutumikisha akili zenu warembo
 
Pole sana ...sasa inakuwaje ukanasa tena kwa playboy? Au maneno yao matamu sana mpaka mnashindwa kabisa kutumikisha akili zenu warembo
Hakuna maneno matamu wala nini niliwaelewa tu. Wa kwanza nilikutana nae wakati nipo shule hatukua na plans zozote ilikua kuhave fun tu tulipomaliza kila mmoja akala 50 zake. Maisha ya kitaa ndio nikakutana na mwingine huyu ndio nikahisi nimefika kabla sijaanza pigwa matukio na story yetu ikaishia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…